YURASHI COMPANY LIMITED
Vifaa vya ujenzi, supply na usafirishaji — huduma zote sehemu moja.
Mchanga, kokoto, mawe, kifusi, changarawe na mizigo mingine ya ujenzi.
Agiza usafirishaji wa mzigo hadi eneo la ujenzi.
Order, quotation, dispatch na delivery vinafuatiliwa kwenye mfumo mmoja.
Customer anaweza kufuatilia hatua ya oda yake kutoka booking hadi delivery.